VICTOR Osimhen amerejea kwenye rada za Atletico de Madrid kama moja ya machaguo ya kuimarisha safu ya ushambuliaji.
Kahama. Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) mwaka huu 2026, unatarajiwa kufanyika wilayani Kahama mkoani ...
PAMOJA na kuchekelea matokeo ya ushindi katika mechi mbili mfululizo, Tanzania Prisons inakabiliwa na kibarua kingine kigumu ...
KIUNGO ghali wa Arsenal, Declan Rice hakuwa hata na muda mrefu tangu kusaini kujiunga na The Gunners wakati Bukayo Saka alipomvuta pembeni na kuzungumza naye kuhusu umuhimu wa dabi ya ...
KOCHA Mkuu wa kikosi cha Azam FC, Florent Ibenge, anasema baada ya kumalizana na michuano ya kimataifa, kazi iliyosalia ni kuhakikisha timu hiyo haiachwi hata pointi moja na Simba na Yanga.
MWANAMUZIKI wa Bongofleva, Harmonize amejizolea mashabiki wengi kutokana na uwezo wake kimuziki pamoja na mtindo wake wa maisha nje ya sanaa ambao umekuwa ukijadiliwa sana mitandaoni.
NDIVYO tunaweza kusema kufuatia staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz, 36, kukaa muda mrefu bila kutoa albamu akivuka hata matarajio yaliyokuwa yamewekwa na baadhi ya mashabiki wake.
KATIKA mabao mawili ya Ligi Kuu aliyofunga kiungo wa Coastal Union, Cleophace Mkandala, yote ameifunga Tanzania Prisons, ambapo nyota huyo aliwahi kukitumikia kikosi hicho cha maafande, kabla ...
KIUNGO wa Kibrazili, Casemiro ameripotiwa kuzivutia klabu za Inter Miami pamoja na timu yake ya utotoni nchini Brazil.
MWIMBAJI nyota wa Afrika Kusini, Tyla, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kukiri kuwa anavutiwa na staa wa Nigeria, Rema akisema yuko tayari kutoka naye kimapenzi endapo angepata nafasi hiyo.
MASHABIKI wa soka walisahaulishwa kwa muda uhondo wa Ligi Kuu Bara baada ya kupigwa mechi za hatua ya 64 Bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB, michuano inayotumika kutoa mwakilishi wa nchi ...
RIO DE JANEIRO, BRAZIL: SUPASTAA, Neymar ameashiria kuwa anaweza kustaafu soka ndani ya miezi michache ijayo. Nyota huyo wa Brazil amekumbwa na majeraha ya mara kwa mara katika miaka ya hivi karibuni ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results