MASHABIKI wa soka walisahaulishwa kwa muda uhondo wa Ligi Kuu Bara baada ya kupigwa mechi za hatua ya 64 Bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB, michuano inayotumika kutoa mwakilishi wa nchi ...
Yanga, ambao ni mabingwa wa kihistoria wa michuano hiyo ikitwaa mara tisa, ikiwamo kubeba kwa misimu minne mfululizo ...