Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Dar es Saalam. Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa ...
Dar es Salaam. Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Elizabeth Edward amesema taasisi za mikopo kwenye jamii zina faida na hasara zake. Amesema wakati benki zikisubiri wakopaji lakini watu wamekuwa ...
Dar es Salaam. Mwanamuziki mkongwe wa Dansi, Zahir Zorro, ametoa ufafanuzi kufuatia ujumbe aliouandika kwenye akaunti yake ya Facebook na kuibua taharuki kwa mashabiki na wadau wa muziki. Katika ...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene zikiwa zimepita siku 52 tangu alipotangaza baraza jipya la mawaziri, Novemba 17, 2025, ...
Dar es Salaam. Zaidi ya Sh19 milioni kati ya Sh41 milioni zilizochangwa na Watanzania kwa ajili ya kumsaidia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu zimepigwa na wajanja ...
Dar es Salaam. Mei Mosi ya mwaka huu imeacha kicheko kwa maelfu ya watumishi wa umma baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1 kuanzia Julai ...
Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Lazaro Twange, amesema licha ya Serikali kufanya uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya umeme, changamoto kubwa inayokwamisha ...
Pacome Zouzoua na Clement Mzize wamekuwa mashujaa wa Yanga leo hii baada ya kuiongoza timu yao kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, yaliyoihakikisha timu ...
Mshitakiwa Erasto Gabriel Mollel, ambaye ni mshitakiwa wa kwanza katika kesi ya mauaji ya Josephine Mngara (30) akiwa ndani ya chumba cha mahakama kuu Kanda ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro. Moshi.
Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo, Vincent Minja akizungumza na wanahabari baada ya kikao cha sekretarieti ya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Dar es Salaam. Wakati Serikali ikitangaza ...
Dar es Salaam. Wakati Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) likitarajiwa kupitisha azimio lake leo Novemba 27, 2025 la kuzuia fedha zilizopangwa kutolewa kwa Tanzania mwaka 2026, Serikali imeeleza kwamba ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results