Dar es Saalam. Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa ...
Dar es Salaam. Mwanamuziki mkongwe wa Dansi, Zahir Zorro, ametoa ufafanuzi kufuatia ujumbe aliouandika kwenye akaunti yake ya Facebook na kuibua taharuki kwa mashabiki na wadau wa muziki. Katika ...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amemsikiliza na kumuhudumia Sarah Mohamed aliyefika kwenye viwanja hivyo kupata huduma ya ushauri wa kisheria. Dar es Salaam. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa ...
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Nassoro Hamdani mmoani Tabora. Tabora. Mjumbe mstaafu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Tabora, Nassoro Hamdani, amefariki ...
Dar es Salaam. Zaidi ya Sh19 milioni kati ya Sh41 milioni zilizochangwa na Watanzania kwa ajili ya kumsaidia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu zimepigwa na wajanja ...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Nicodemus Mkama akikabidhi waraka wa ofa Kwa Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Pension Fund (APeF), Dk Hamisi Kibola (wa tatu ...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene zikiwa zimepita siku 52 tangu alipotangaza baraza jipya la mawaziri, Novemba 17, 2025, ...
Licha ya ripoti na madai yanayoendelea kusambaa kuhusu juhudi za Marekani kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, mjadala huo umeibua upya kumbukumbu za operesheni za kijeshi zilizowahi ...
Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Lazaro Twange, amesema licha ya Serikali kufanya uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya umeme, changamoto kubwa inayokwamisha ...
Dar es Salaam. Waendesha pikipiki na bajaji nchini wametakiwa kuongeza nidhamu katika utoaji wa huduma ili kuimarisha usalama na utaratibu wa usafiri mijini na vijijini. Endapo nidhamu haitazingatiwa, ...
Dar es Salaam. Wakati Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) likitarajiwa kupitisha azimio lake leo Novemba 27, 2025 la kuzuia fedha zilizopangwa kutolewa kwa Tanzania mwaka 2026, Serikali imeeleza kwamba ...
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi na kubadilisha makatibu wakuu wa wizara nane, pamoja na naibu makatibu wakuu wa wizara tano. Miongoni mwa walioteuliwa wamo waliokuwa wakuu ...